welcome

August, 2019

now browsing by month

 
Posted by: | Posted on: August 19, 2019

YOUTH PEACE MAKERS TREE NURSERY

Kupitia idara ya mazingira YPM iko katika harakati za kuandaa kitalu cha miti mbali mbali ambayo itasaidia katika utunzaji wa mazingira siku za usoni.Pia katika maandalizi ya kuelekea siku ya maadhimisho ya  miaka 5 ya YPM, Shirika litatoa miti kwa wana-VICOBA pamoja na kupanda miti hiyo sehemu mbalimbali wilayani Lushoto.

YPM through its environment and advocacy program is now preparing tree nursery. YPM expect to have more than three hundreds thousands of trees. The trees are of different species and will be distributed to the community during the celebration of 5 years of establishment of the organization.

 

Posted by: | Posted on: August 9, 2019

Nane nane day Celebration (Farmers day 8th August 2019

Wanavikundi wa Peace Makers VICOBA (PM VICOBA) wakiwa katika ziara ya siku tatu ya maonyesho ya nane nane yaliofanyika mkoa wa Morogoro. Ziara hii iliandaliwa na taasisi ya vijana waleta amani Tanzania ili wanavikundi hao waweze kujifunza ujasiriamali kilimo na kilimo chakisasa kwa maendeleo ya kiuchumi. Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.

PeaceMakers VICOBA (PM VICOBA) members celebrated the Nane nane exhibition ( farmers day) in Morogoro Tanzania. The arrangement of a visit was prepared by Youth Peace Makers Tanzania with the aim of enhancing VICOBA members to learn agricultural entrepreneurship and how they can use modern agricultural methods to increase quantity and quality of agricultural products for economic development.