General

Global Disability Summit

Mkutano wa kimataifa wa walemavu. Tarehe 14 Feb – 17Feb Norway na Ghana waliandaa mkutano wa kimataifa wakishirikina na Uingereza juu ya watu wenye ulemavu Duniani. Mkutano huu ulifanyika kwa
Read More

Public Expenditure Tracking System

Mafuzo ya Ufuatiliaji wa Rasilimari za Umma (PETS) yameendelea kuendeshwa kwenye kamati zikakazo husika na mchakato huo ambapo mwezi wa desemba 2021 mafunzo hayo yamefanyika kwa kamati za Mziragembei na
Read More

Youth Peace Makers Forum Tanzania

YPM inayofuraha kupokea ugeni wa vijana wanaosimamia Jukwaa la Vijana Waleta Amani Tanzania. Vijana hao wa tano niwawakilishi wa vijana wengine kutoka katika Chuo cha afya Machame. Vijana hawa wanaendesha
Read More

Drop Irrigation Training

Umwagiliaji wa matone.YPM kupitia kitengo cha uwezeshaji kiuchumi imeendesha semina ya umwagiliaji wa matunone ilikutatua changamoto ya ukame inayoikumba taifa letu ambalo linategemea kwa kiasi kikubwa kilimo cha mvua.Mafunzo hayo
Read More

YPM Peace Clubs

YPM Peace ClubAfisa Mazingira na Utetezi wa YPM Bi. Lidya Wilson Mshemu akiambatan na vijana wanaojitolea ambao ni Ndug. Tahona Godfrey Walalaze na Ndug. Eric Daniel Godson wametembelea YPM Peace
Read More

YPM Stakeholders Meeting

Kikao na wadau wa maendeleo wa YPM ambao ni walimu walezi wa klabu za kusimamia na kuleta amani mashuleni. YPM stakeholders meeting with YPM Peace Clubs Guardians in schools.
Read More

Stop Poverty Final

YPM imehitimisha mashindano ya Stop Poverty Cup Football League huko wilayani Mkinga mkoani Tanga. Mshindano haya yalipambwa na jumbe mbalimbali zikisomeka katika mabango na kuelezewa vizuri na Afisa michezo kwa
Read More