Kupitia idara ya mazingira YPM iko katika harakati za kuandaa kitalu cha miti mbali mbali ambayo itasaidia katika utunzaji wa mazingira siku za usoni.Pia katika maandalizi ya kuelekea siku ya maadhimisho ya miaka 5 ya YPM, Shirika litatoa miti kwa wana-VICOBA pamoja na kupanda miti hiyo sehemu mbalimbali wilayani Lushoto.
YPM through its environment and advocacy program is now preparing tree nursery. YPM expect to have more than three hundreds thousands of trees. The trees are of different species and will be distributed to the community during the celebration of 5 years of establishment of the organization.