LATEST NEWS
Latest news & event of our Organization.
Vijana wa Mkinga Wapewa Nguvu ya Kidigitali Kupitia Mahafali ya YPM
Mahafali ya siku ya pili katika Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta cha Youth Peacemakers Tanzania (YPM) – Mkinga yameendelea kuonesha mafanikio makubwa ya vijana waliopata nafasi ya kujifunza ujuzi wa kidigitali. Wahitimu hao wamekamilisha mafunzo yao wakiwa na uwezo wa kutumia kompyuta katika shughuli mbalimbali za kila siku, pamoja na
Read MoreYPM Computer Center Yafungua Milango ya Fursa kwa Vijana wa Tanga
Katika kuendelea kuwekeza kwenye maendeleo ya vijana kupitia elimu ya teknolojia, Youth Peacemakers Tanzania (YPM) kupitia YPM Computer Center – Tawi la Tanga imefanikiwa kuhitimisha wanafunzi 6 waliokamilisha mafunzo ya kompyuta kwa mafanikio. Mahafali hayo yamekuwa ishara ya mafanikio na hatua muhimu katika kuwawezesha vijana kupata ujuzi wa kidigitali unaohitajika
Read MoreVICOBA na Teknolojia ya Kidigitali: Njia Mpya ya Kuleta Mabadiliko ya Kiuchumi
Ukosefu wa ajira na umaskini ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazoendelea kuathiri maendeleo ya jamii katika maeneo mbalimbali. Changamoto hizi zimekuwa zikisababisha utegemezi wa kiuchumi, kupungua kwa fursa za maendeleo, na kushuka kwa ustawi wa familia nyingi. Kutokana na hali hiyo, juhudi mbalimbali zimeendelea kufanyika ili kuhakikisha jamii inajengewa uwezo
Read MoreOUR PROGRAMS
YPM focuses on providing knowledge, skills and empowerment to Youth, women and the community on issues of:
Our Activities
Currently, the organization has the following activities, which are:
Right based services
More focus in assisting and empowering community for accessing service rights such as health and education.
Climate & Environmental Care
It is a cross cutting program – integrated in all programs of the organization. Under this program we do have the ICT Solar Kiosk- as a center for supporting Youth creativity.
Democratic Citizenship
This is targeting on education (Civic Education and PETS --- Public Expenditure Tracking Systems), advocacy, lobbying and awareness creation to the community. The S2C is specifically taken in schools and colleges to raise awareness and consciousness of youths.
Sport for Development
Various sports and arts performances- it is a cross cutting program
Training
The organization conducts a couple o training ranging from Economic empowerment, advocacy and arts to enable citizens to be true active agents of change.
Business Incubation
Aimed at offering information on businesses development at different stages through establishment of business incubation centers. Young people may also get training and knowledge on how to establish and manage new businesses.
Subjects to Citizens
S2C is a program launched by the African alliance of YMCA. Noticing that many young Africans were excluded from decision making processes and misused by politicians boosting their own agenda, the African alliance raised the issue of how to turn “subjects” into “citizens”.
Cultural & Arts Groups
Youth Peace Makers initiated cultural & arts groups for the youth who are in formal education and informal education to help them to advocate the challenges that faces the society through drama, traditional dances and songs.
Learning Centers
Learning is a life long journey. Learning skills is a different avenue that imparts exceptional and important knowledge to the learner for achieving certain objectives in life. Youth Peacemakers has engaged youths in skills training at different centers.
OUR TEAM
Staff members of Youth Peace Makers
YOUTH PEACE MAKERS- Tanzania
Hours of Operation
Operated from Monday to Friday
From 8:30am-5:00pm
Lunch Break from 1:00pm-2:00pm
This applies to all working days with exception to public holidays.






